Rudi Tafadhali cover art

Rudi Tafadhali

by Mkusu Wasila

AI-generated Pop song · 3:24 · 0 plays

Lyrics

Verse 1
nimepata habariii
mji umeukimbia umekwenda mbalii
moyo wangu unaumia
Rudi tafadhalii

weeeee eeeh
kupenda ni ajalii
moyo wangu unaumia
vile ambavyo nime kupenda

umekwenda umeniacha
soremba unafanya
kutwa nakonda naugua
kisa we we

Pre-Chorus
sababu Mimi si si
moyo wangu unafanya niugue
nilivyo kupeti peti
nikakutunza nika kujali

Sasa kipi kimefanya
unikimbie ooh
mimi nashika jina lako
usiniache leo

Chorus
ooh my baby come back to me
(ooh my baby)
ooh daring come back to me
(come back to me)
nakuhitaji come back to me
(come back to me)
ooh baby aaah

ooh my baby come back to me
(ooh my baby)
ooh daring come back to me
(come back to me)
nakuhitaji come back to me
(come back to me)
ooh baby aaah

Verse 2
sasa nyumba imebaki kimya
kila kona inauliza
ulipoenda nacheka nani
ukiniacha hivi tu

moyo wangu bado unaomba
urudi hapa ndani
siwezi kuzoea
hii baridi ya bila wewe

nilikupa kila kitu
kwa mikono yangu
leo naishi na majibu
yasiyo na mwisho

Pre-Chorus
sababu Mimi si si
moyo wangu unafanya niugue
nilivyo kupeti peti
nikakutunza nika kujali

Sasa kipi kimefanya
unikimbie ooh
mimi nashika jina lako
usiniache leo

Chorus
ooh my baby come back to me
(ooh my baby)
ooh daring come back to me
(come back to me)
nakuhitaji come back to me
(come back to me)
ooh baby aaah

ooh my baby come back to me
(ooh my baby)
ooh daring come back to me
(come back to me)
nakuhitaji come back to me
(come back to me)
ooh baby aaah

Bridge
nikikuita usiku
jibu linazidi kimya
nilikuwa wako kabisa
sasa naanguka peke yangu

rudi tafadhalii
usiniache hivi
moyo wangu bado
unakaa wewe

Final Chorus
ooh my baby come back to me
(ooh my baby)
ooh daring come back to me
(come back to me)
nakuhitaji come back to me
(come back to me)
ooh baby aaah

ooh my baby come back to me
(ooh my baby)
ooh daring come back to me
(come back to me)
nakuhitaji come back to me
(come back to me)
ooh baby aaah

More by Mkusu Wasila

Make your own song with SoundLab AI · Turn your own lyrics into a song