
kuna muda shida nyingi sana
by Prince
Lyrics
kuna muda shida nyingi sana
zilipozidi kuniandama
ulisimama na mimi BWANA
hukuniacha me wako mwana
kwanza jinsi ulinipenda sana
hata ukamtoa wako mwana
kaubeba ule msalaba
Kwa damu yake me nimepona
chorus
ooh nashukuru Kwa wema wako uliotenda maishani mwangu
siwezi kueleza*2