Nakupenda laaziz cover art

Nakupenda laaziz

by Mohamed Swalehe

AI-generated Pop song · 1:01 · 2 plays

Lyrics

African, Pop, Upbeat

Nakupenda LA Aziz wangu
chako changu ewe kidani changu
Nyong'o mkalia ini langu
Naona raha ukiwa maishani mwangu
nakukunda chane Sauda wangu
saudaaa saudaaa wangu
kupenda ndio asili yangu
nitakulinda Kama mboni ya jicho langu
njoo Uwe Mama wa watoto wangu
njoo Uwe mke wangu
aiii aiiii aiiii roho yangu

Make your own song with SoundLab AI · Turn your own lyrics into a song