
yesu unatisha
Lyrics
ni Mimi Winnie tena...
Kumbe unatisha
Kumbe unatisha hivi
Kumbe una nguvu
Kumbe una nguvu hivi
We Yesu, unatisha hivi
We Yesu, Yesu
Kumbe unatisha
Kumbe unatisha hivi
Kumbe una nguvu
una nguvu hivi
We Yesu, unatisha hivi
We Yesu, Yesu
Mimi naogopa matendo yako
amakweli nimesalenda
wewe mungu ni mkaliii
we yesu we yesu inatisha hivi
kumbe ulikuwaki zamani
Elia anakujua we yesu we yesu unatisha hiviii
kumbe umenibariki hivi
asui zangu wanaogopa ..
we yesu we yesu unatisha hivi
Make your own song with SoundLab AI · Turn your own lyrics into a song